Pages

Thursday 12 July 2012

Breaking News

TAIFA LEO
Nairobi, Kenya. Tarehe ishirini na sita, mwezi wa Juni, mwaka wa elfu mbili kumi na mbili.
Mke na Mume Waingereza kusikitika kuondokea marafiki



Watu wawili waingereza, mke na mume, leo wanasikitika kuondokea marifiki wao katika Kenya. Helen Trenchard na Dan Jones, wana miaka thelathini na moja wote, wamesema “Tutapotea, tutapotea sana. Tutasikitika sana kuondoka Kenya na tuta kosa marafiki wetu.”

 “Tunapenda Kenya sana! Uingereza, tutasikia baridi sana”, anasema Helen.

Dan na Helen walifika Kenya Julai mwaka wa elfu mbili kumi na moja, na walisalimia Bi Lucy Otieno, ambeye aliwakaribisha Kenya. Dan, Helen na Lucy, ni rafiki sasa, na walitembelea nyumbani kwa Lucy na mume wake Nick. Dan na Helen walikutana na jamaa wao wote.

Dan, anasema: “Lucy na Nick walitusaidia kuhisi kuwa nyumbani katika Kenya. Tulifurahia kukutana na jamaa wao na tulikula na tulikunywa pamoja.”

Helen na Dan, walijifunzwa Kiswahili na mwalimu wao Lucy, na walifurahia somo sana. Wanafikiri watasema Kiswahili kila siku wakati watarudi uingereza.

Dan na Helen wataondoka Kenya tarehe kumi na tisa mwezi Julai, lakini wanataka kukutana na Lucy na Nick kabla ya kuondoka. Wanapanga karamu tarehe kumi na nne mwezi wa julai, na wanataka kucheza densi na marafiki wao wema.

____________________________________



NATION TODAY
Nairobi,K enya. 26th June 2012:
British couple sad to leave friends

Two British people, a husband and wife, have today confirmed that they are sad to leave their friends in Kenya. Helen Trenchard and Dan Jones, both aged 30, said: “We will be lost, very lost. We will be very sad to leave Kenya and we will miss our friends.”

“We love Kenya so much!  In the UK, we will be very cold”, said Helen.

Dan and Helen arrived in Kenya in July 2011, and were greeted by Mrs Lucy Otieno, who welcomed them to Kenya. They have become friends, and the British couple have visited the home of Lucy and her husband Nick. They have met all of their family.

Dan said: “Lucy and Nick have really helped us to feel at home in Kenya. We have enjoyed meeting their family and eating and drinking together.”

Helen and Dan have learned KiSwahili from their teacher Lucy, and they have really enjoyed. They hope to speak Swahili to each other all the time when they return to the UK.

Dan and Helen leave Kenya on 19th July, but hope to meet with Lucy and Nick before then. They are planning a party on 14th July, and look forward to dancing with their good friends.

No comments:

Post a Comment