Pages

Monday, 2 April 2012

Maisha Yangu (My Life)


Posted by: Helen

Nilizaliwa tarehe nne mwezi wa juni mwaka wa elfu moja mia tisa themanini na moja.  Sasa nina miaka thelathini.  Nilizaliwa katika nchi wa uingereza, katika mji ya Aylesbury, kwa sababu hospitali wa Aylesbury ilikuwa karibu na nyumba yetu, katika mji wa Leighton Buzzard.  Nina kaka moja, Matthew.  Ana miaka thelathini na mitatu.


Tulikaa katika Leighton Buzzard mpaka wakati  nilikuwa na mwaka moja halafu tulihamia mji wa Harpenden.  Wazazi wangu, bado wanakaa katika Harpenden.  Sasa, wamestaafu.


Nilihudhuria shule ya msingi na shule ya sekondari katika Harpenden.  Katika shule nilipenda fasihi na michezo.  Nilijiunga wa chuo kikuu cha Lancaster mwaka wa elfu moja mia tia tisini na tisa.  Nilikuwa na miaka kumi na nane.  Lancaster kilomita mia tatu kutoka Harpenden, karibu na Scotland.


Katika Lancaster nilijifunza fasihi na michezo.  Nilikutana marafiki wengi na Dan!  Nilifuharhi sana katika chuo kikuu.  Nilihitimu baada ya miaka tatu na nilienda kufanya kazi nchi ya ufaransa kwa miezi tatu.  Nilikosa Dan sana.


Baadeye, tulihamia mji wa St Albans karibu na London.  Mwaka wa elfu mbili na tano tulifanya kazi sote katika London. Nilifanya kazi katika Cancer Research UK, nilichangisha pesa.


Mwaka wa elfu mbili kumi na moja, tulienda nchi ya Kenya!  Sisi ni wajitoleagi katika mashirika ya Kenya.  Ninafanya kazi Kenya Union of the Blind katika Nairobi.  Tunakaa South B, tunafurahi sana kukaa katika Kenya.  Tumekutana watu wengi na tunasafiri sana.  Tunapenda Kenya sana.


Tutarudi na uingereza katika Julai.  Tuta sikitiko sana kuandoka Kenya.  Tutakosa marafiki wetu sana.


Swahili homework = done!

No comments:

Post a Comment